• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RAS MWANZA AHIMIZA MATUMIZI YA FURSA ZA MICHEZO

Posted on: February 19th, 2026

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza anayesimamia Utawala na Rasilimali Watu Bw. Daniel Machunda ameitaka jamii kutumia michezo kama nyenzo muhimu ya maendeleo kwani inaweza kuwa suluhisho la changamoto ya ajira kwa vijana endapo wataweka mkazo na kusimamia kwa umakini.

Bw. Machunda amesema hayo leo Februari 19, 2026 wakatj akifungua kikao kazi kilicho wakutanisha kamati ya michezo ya Mkoa na baraza la mochezo (BMT) ambapo amesisitiza umuhimu wa kutumia kikamilifu rasilimali zilizopo mkoani humo ikiwemo Ziwa Victoria ili kuendeleza mchezo wa uogeleaji.

Amesema mazingira ya Mwanza yanatoa fursa adhimu ya kukuza vipaji vya kuogelea na kuandaa wanamichezo wenye ushindani kwa ngazi za kitaifa na kimataifa huku akisisitiza kuwa Kanda ya Ziwa ni miongoni mwa maeneo yanayoongoza kwa matumizi ya baskeli nchini hivyo ni wakati muafaka kwa vijana kutumia fursa hiyo kuinua vipato vyao kupitia mashindano na shughuli za michezo.

“Tuna mkakati madhubuti msimu huu kuhakikisha timu yetu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi Kuu inashika nafasi za juu katika msimu huu ili iweze kushiriki michuano ya kimataifa ngazi ya vilabu msimu ujao”. Amesema Bw. Machunda.

Naye Afisa michezo mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMC) Ndg. Charles Maguzu ameupongeza Mkoa wa Mwanza kwa kuwa na vyama vingi vya michezo vinavyoshirikiana kwa karibu na uongozi wa mkoa hali inayochangia mkoa huo kufanya vizuri katika baadhi ya michezo kitaifa, hususan katika ngazi ya mikoa.

“ushirikiano huo ni mfano bora wa kuigwa na mikoa mingine katika kuendeleza sekta ya michezo nchini”. Amesema Bw. Maguzu.

Viongozi hao waandamizi wa BMT wapo katika ziara fupi kwenye baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa lengo la kuhamasisha michezo, kusajili vyama vya michezo na kuendeleza sekta hiyo kwa ujumla.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI IDARA YA MAAFA OWM AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA DHARULA MWANZA

    February 20, 2026
  • KAYA 19,344 KUNUFAIKA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE MWANZA AWAMU YA KWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AMPOKEA WAZIRI DEUS SANGU MWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AWATAKA WASIMBE NA WABANZA KUUNGANA KUKATA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 20, 2026
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.