Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana akishiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kituo cha Chuo cha Benki Kuu Capripoint Jijini Mwanza leo tarehe 29 Oktoba 2025.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.