• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RC Malima aikumbusha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kuzingatia Weledi katika majukumu yao

Posted on: September 26th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima amewakumbusha wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kusimamia vyema majukukumu yao kutokana na kamati hiyo kuhusika na masuala muhimu ya Maendeleo kwa mwananchi.

Akizungumza na wajumbe wa Kamati hiyo leo kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mhe Malima amebainisha Kamati hiyo imebeba majukumu ya Wizara kadhaa ikiwemo Afya na Elimu eneo ambalo ndiyo msingi wa maendeleo na kuwataka kutofumbia macho yale yote watakayobaini hayana tija kwa mustakbar wa Taifa letu.

"Mmekuja Mwanza mkianzia kuikagua Taasisi ya TMDA ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya,hii ni Taasisi inayojihusisha na dawa na Vifaa Tiba mkazifanyie kazi changamoto zote mtakazoziona ili kuendelea kumpa usalama mwananchi" amesema Mkuu wa Mkoa.

Amewaambia wajumbe hao wa Kamati ya Bunge kuwa miongoni mwa kitega Uchumi cha Mkoa wa Mwanza ni  Uchumi wa Bluu,zipo hujuma za hapa na pale za kukwamisha Uchumi huo hayo yote ni ya kuyafanyia kazi, mkajiridhishe na kuyapatia ufumbuzi.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Aloyce Kamamba amesema wanatambua uzito majukumu yao,wamekuja Mwanza kukagua na kujiridhisha na kazi zinazofanywa na TMDA ili baadaye waje kulishauri Bunge pale watakapoona kuna haja ya kuchukua uamuzi huo.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii inasimamia Sekta ya  Afya,Elimu,Wanawake,jinsia na Makundi Maalum,Maendeleo ya Jamii pamoja na Michezo na Sanaa.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.