• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Wizara za TAMISEMl, Afya zafanya ziara ya Uhimarishaji mifumo Mwanza

Posted on: August 10th, 2023

Wizara za TAMISEMl, Afya zafanya ziara ya Uhimarishaji mifumo Mwanza


Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe -TAMISEMl Dkt. Ntuli Kapologwe ametoa wito kwa watumishi wa Sekta ya Afya kuwahudumia wananchi kwa dhati na kiweledi ili jamii iweze kulindwa na kujenga uaminifu zaidi kwa kada hiyo nchini.

Amesema hayo leo Agosti 10, 2023 wakati akizungumza na Watumishi na wadau wa Sekta hiyo kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Mwanza wakati wa Kikao cha Majumuisho ya ziara ya Uhimarishaji mifumo na kujenga uwezo kwa watumishi wa sekta hiyo  akiongozana na Ujumbe kutoka Wizara ya Afya.

"Shabaha ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuboresha huduma kwa wananchi hivyo sote tukijituma kufanya kazi tutasaidia kufikia lengo hilo kwani fedha zimeletwa nyingi sana hivyo ni lazima zilete matokeo chanya kwa wananchi." Dkt. Kapologwe.

Aidha, amewataka wasimamizi na Wadau wa Afya nchini kuhimarisha mifumo ya afya hususani kwa kuhakikisha wanaboresha huduma za rufaa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya ili kujenga jamii yenye afya bora kutokana na huduma bunifu na bobezi.

"Ziara yetu inalenga kuimarisha mifumo ya afya na kujengeana uwezo kwenye namna ya kutoa huduma za afya kwa kuziangalua changamoto na mafanikio kwenye Maeneo mbalimbali ili kuona namna bora ya kuboresha." Amesisitiza.

Naye, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Thomas Rutachunzibwa ameomba Wizara za Afya na TAMISEMl kuboresha huduma huku akibainisha baadhi ya changamoto zinazoikabili Sekta hiyo kama upungufu wa watumishi, kutokuwepo kwa wataalamu wa lugha ya Alama kwenye vituo vya kutolea huduma kwa ajili ya wenye Ulemavu.

Vilevile, ametoa ombi kwa wizara kuona namna ya kuingiza bidhaa za wajawazito kwenye miradi ili isaidie kuwafikia kwa urahisi walengwa na pia ametoa pendekezo kwa wizara za kisekta kuweka utaratibu utakaosaidia wananchi wenye madimbwi kupata dawa za viuadudu kwa gharama ndogo  wakati Idara hiyo ikiendelea kutoa msaada wa kitaalam kwenye matumizi.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWANZA, SIMIYU ZANG'ARA UTAMILIFU DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA

    May 30, 2025
  • RAS MWANZA AZINDUA RASMI MRADI WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA SELI MUNDU

    May 30, 2025
  • WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WATOTO WA MITAANI

    May 29, 2025
  • RAS MWANZA AWATAKA VIONGOZI WA UMMA KUDUMISHA NIDHAMU NA UFANISI KAZINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.