Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Mhe. Senyi Ngaga leo tarehe 30 Agosti, 2025 amepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Misungwi ambapo amesema utakimbizwa katika umbali wa Kilomita 81.2 katika kukagua, kutembelea, kuweka Mawe ya msingi na Kuzindua jumla ya Miradi 7 yenye thamani ya Tshs. Bilioni 4.65.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.