RC MTANDA AKUTANA NA WATAALAMU KUTOKA NJE KUKABILIANA NA MAGUGU MAJI
Mkuu wa Mkoa ww Mwanza Mhe. Said Mtanda akiongoza kikao kifupi na Wataalam kutoka Nchini CUBA waliofika Mkoani Mwanza ili kuweka mikakati ya pamoja ya kukabiliana na mimea vamizi ikiwemo Magugu Maji. Kikao kimefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Mwanza leo Februari 24, 2025.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.