Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba leo tarehe 18 Februari 2026 ametembelea kambi ya huduma za Mkoba za kinywa na meno iliyopo katika Zahanati ya Matare wilayani Misungwi inayofadhiliwa na shirika la THEDI ambayo inatoa huduma bila malipo kwa wananchi.


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.