• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Walimu wa shule binafsi watakiwa kufichua uovu

Posted on: October 8th, 2018


Wamiliki na  walimu wa shule za binafsi wametakiwa kufuata sheria ya uajili kwa kutoajiri vishoka na walimu kutoka nchi jirani bila vibali.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la Kitaalama la Kitaifa la Walimu wa Shule zisizokuwa za Kiserikali  nchini Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Avemaria Semakafu  kwa niaba ya Waziri wa Elimu Mhe. Prof.Joyce Ndalichako alisema walimu wa shule za binafsi wnaficha maovu ikiwemo suala la wizi wa mitihani.

"Maovu makubwa yanafanyika katika shule binafsi ambayo watekelezaji wake ni nyinyi walimu, unakuta mwalimu anafundisha siyo raia wa Tanzania na hana vibali lakini tukijua mnawatetea," alisema Semakafu.

Semakafu ameongeza kuwa Wizara yake isingetaka kuona Elimu yetu inayumba nchini.

Naye Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Mwanza anayehusika na Masuala ya Elimu Michael Ligola aliwasisitiza walimu wafuate taratibu, kanuni na sheria zote ili kuhakikisha wanatenda haki.

"Malanyingi tumepata malalamiko hasa Shule binafsi kuwa wanaenda kinyume na taratibu zilizowekwa ikiwemo ukaririshwaji wa wanafunzi, "alisema Ligola.

Aliongeza kuwa kwa mujibu wa sheria mwenye uwezo wa kukaririsha wanafunzi ni kamshina Mkuu.

"Endapo itagundulika kuwa kuna shule iwe ya Serikali au Taasisi inakaririsha mwanafunzi kisa hajatimiza kigezo cha kuingia kidato kingine bila kibali cha Kamishina hakika tutachukua hatua,"alisema Ligola.

Naye Bwana  Julius Mabula Katibu Mkuu wa Chama cha walimu shule binafsi Tanzania alisema, wanakabiliwa na changamoto ya baadhi ya waajili kutofuata sheria na taratibu ikiwemo kutishia au kuwafukuza kazi wakijiunga na chama chao.

"Waajiri wamekuwa wakiachishwa kazi walimu wanaojiunga kwenye chama chetu tukifuatilia tunaambiwa mwalimu kaondolewa kwa kukosa sifa," alisema Mabula.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.