• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mechi ya Kirafiki Yakonga nyoyo za mashabiki Mwanza

Posted on: November 5th, 2019

Timu ya watumishi wa Serikali  (RAS Mwanza) imeshindwa kutamba mbele ya timu ya Bakwata Mwanza baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1.

Timu hizo zilipimana vikali kwenye mchezo maalumu wa sherehe za Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume  Muhammad S.A.W uliofanyika kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini humu.  

RAS Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa  Mhe.John  Mongella, waliliandama lango la Bakwata na kupoteza nafasi nyingi za awali.

Bakwata walitangulia kupata bao la kuungoza kabla ya RAS kusawazisha kwenye mchezo huo uliohudhuriwa na watumishi kwa ujumla,waumini  wa  dini ya kiislamu na wananchi wa madhehebu mbalimbali .


Ramadhan Khamis  aliifungiau Bakwata  bao dakika ya 30 baada kuwatoka walinzi wa RAS na kuachia kombora kali lililomshinda kipa Michael  Ligola na kujaa wavuni.


RAS walipata pigo kwenye  dakika ya 35 baada ya mshambuliaji  wao John Mongela kuumia na nafasi yake ikachukuliwa na Gwandise Kalekele.


Hadi mapumziko Bakwata walikuwa mbele kwa goli 1-0 ambapo kipindi cha pili RAS waliingia kwa kasi na kulisakama lango la Bakwata kusaka bao la kusawazisha.Jitihada zao zilizaa matunda  baada ya Said Mwalimubora  kusawazisha akiwazidi walinzi wa Bakwata na kuuweka mpira wavuni dakika ya 70 ya mchezo.  


Timu zote zilifanya mabadiliko, mabadiliko  yaliyoinufaisha Bakwata  kwa kuandika bao la pili  kupitia kwa Hussein Bunyonyi baada ya kuwachambua walinzi wa RAS Mwanza  kunako dakika ya 79. Licha ya RAS  kusaka  bao la kusawazisha wakiongozwa na  Katibu Tawala Christopher  Kadio, ukuta wa Bakwata ulikuwa imara na kuondosha hatari zilizoelekezwa langoni kwao na hadi mwisho wa mchezo  huo Bakwata 2-1 RAS. 

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.