• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

BARAZA LA RAIS LA USHAURI WA KILIMO NA CHAKULA LAKUTANA NA WADAU WA KILIMO KANDA YA ZIWA

Posted on: June 4th, 2025

BARAZA LA RAIS LA USHAURI WA KILIMO NA CHAKULA LAKUTANA NA WADAU WA KILIMO KANDA YA ZIWA


Baraza la Kumshauri Mhe. Rais kuhusu masuala ya Chakula na Kilimo limekutana tarehe 03 Juni 2025 katika Ukumbi wa Gold Crest Hotel, Jijini Mwanza ili kujadili changamoto mbalimbali zinazokabili sekta za uzalishaji, ikiwemo Kilimo ili kuongeza tija ya uzalishaji katika mnyororo wa thamani.

Akifungua Mkutano huo Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza hilo amesema Serikali imekuja na malengo makubwa sana ya kukuza uchumi na hasa imejikita katika maeneo ya uzalishaji hususani sekta ya kilimo.

Mhe. Pinda ameendelea kwa kusema ni dhahiri busara inayomuongoza Mhe. Rais inawafaa wote kwa kushiriki vyema katika kuchangia mawazo kwenye masuala ya kilimo na chakula na kuona namna ya kutumia maarifa tuliyonayo kuongeza tija katika masuala ya chakula na kilimo.

“kulingana na mnyororo wa thamani, kila zao lazima lipewe thamani kuanzia shambani mpaka sokoni”.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda amewakaribisha wageni wote waliotoka nje ya Mkoa wa Mwanza na kuwahakikishia usalama na utulivu wakati wote watakapokuwa Mwanza, Kadhalika amewapongeza kwa kuchagua kufanya Mkutano huo katika Mkoa wa Mwanza na kusema kwa kufanya uchaguzi huo hawajafanya makosa kwani ni sehemu sahihi.

Pamoja na mambo mengine mkutano umetoa fursa kwa wadau wa kilimo na mifugo kujadili changamoto na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuboresha sekta hiyo.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA RAIS LA USHAURI WA KILIMO NA CHAKULA LAKUTANA NA WADAU WA KILIMO KANDA YA ZIWA

    June 04, 2025
  • MWANZA, SIMIYU ZANG'ARA UTAMILIFU DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA

    May 30, 2025
  • RAS MWANZA AZINDUA RASMI MRADI WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA SELI MUNDU

    May 30, 2025
  • WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WATOTO WA MITAANI

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.