MISINGI IMARA NA UONGOZI MADHUBUTI, CCM IMEZIDI KUAMINIWA:RC MTANDA
Misingi imara ya Chama Cha mapinduzi (CCM) kuanzia ngazi ya shina hadi Taifa, amani na mshikamano na usimamizi mzuri kwa Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi 'ni miongoni mwa sababu zinazofanya chama hicho kuendelea kushika dola na kuaminiwa.
Akizungumza na wananchi leo Februari 2,2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya CCM yaliyofanyika ki-mkoa mjini Ngudu wilayani Kwimba,Mtanda amesema tangu kuzaliwa kwa chama hicho 1977,nchi imekuwa ikipiga hatua kutokana na utekelezwaji mzuri wa ilani ya uchaguzi huku Mkoa wa Mwanza ukipokea bilioni 5.2 kwa ajili ya miradi ya afya na elimu.
"Maadhimisho haya yanazidi kutupa somo kudumisha mshikamano miongoni mwetu na kuiunga mkono Serikali katika miradi yote ya maendeleo,"Mtanda
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.