Mapema Leo Septemba 26,2025 Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana ametembelewa ofisini kwake na Katibu Mkuu wizara ya Ardhi Mhandisi Anthony Sanga na ujumbe wake uliowasili mkoani humo kwa ajili ya kukabidhi hati za kimila katika halmashauri ya Magu kwa Lengo la kupunguza migogoro ya Ardhi mkoani humo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.