RC MTANDA AMFARIJI MWENYEKITI WA CCM MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Desemba 29, 2024 amesaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Mzee Simon Masanja Lushinge Baba wa Ndugu Michael Lushinge (SMART) Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza.
Mhe. Mtanda amefika nyumbani kwa Ndugu Smart Usagara Wilayani Misungwi kufuatia msiba huo uliotokea tarehe 27, Desemba katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando alipokuwa akipatiwa matibabu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.