RC MTANDA AWAKARIBISHA MWANZA WANAFUNZI KUTOKA UGANDA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekutana na kufanya kikao kifupi na wanafunzi
wa Darasa la Saba wa Gayaza Primary school kutoka Nchini Uganda ambao wapo Mkoani Mwanza kujifunza masuala mbalimbali ya Maendeleo ambapo amewakaribisha na kuhakikishia usalama wakati wote wawapo Mwanza.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.