Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akizindua ndege ndogo (drone) zitakazotumika kusafirisha dawa za binadamu na baadhi ya vifaa tiba kupeleka huduma sehemu za visiwa vilivyopo Jijini Mmwanza kwa haraka na kwa gharama nafuu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka Waheshimiwa wakuu wa Wilaya kuchukua hatua dhidi ya wanaowapa mimba wanafunzi.
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.