Posted on: October 27th, 2019
Mkoa wa Mwanza unakabiliwa na upungufu mkubwa wa miundombinu ya elimu, hali inayoufanya uongozi wa mkoa kuchukua hatua madhubuti ya kukabiliana na upungufu huo.
Hayo yameelezwa j...
Posted on: October 23rd, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo (Mb) amezungumza na wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa njia ya "Video Conference" leo tarehe 23/10/2019 moja k...
Posted on: October 22nd, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine wakiwemo wakuu wa shule za misingi za Serikali Mkoani hapa kujifunza kutoka kwa shule zilizofanikiwa.
Hay...