Posted on: June 25th, 2019
Serikali imepongezwa na Shirika la Under The Same Sun kwa namna ilivyoshiriki kupunguza mauaji na ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi tangu 2008 hadi 2018 ambapo matukio ya...
Posted on: June 24th, 2019
Jamii imetakiwa kutonyamazia na kuficha watu wanaofanya ukatili kwa watu wenye ualibino ukiwemo ukatwaji viungo.
Akiongea mara baada ya kuzindua kambi (summer camp) kwa ajili ya wanafunz...
Posted on: June 21st, 2019
Serikali imetenga Sh bilioni 5.9 katika mwaka huu wa fedha ambazo zitatumika katika kuajiri ajira mpya, kulipa mishahara ya watumishi sanjari na uboreshaji wa shughuli za Kampuni ya Huduma za...