Posted on: October 3rd, 2019
Watumishi wa umma wametakiwa kufanya kazi kwa utii, kuzingatia sheria,kanuni na miongonzo ya utumishi katika utoaji huduma bora kwa wananchi pamoja na kutumia taaluma zao kuleta mabadiliko chanya.
...
Posted on: September 28th, 2019
Naibu Waziri wa kilimo Hussein Bashe amewatahadharisha wale waliohusika na upotevu wa fedha shilling billion 123 za wakulima kupitia kwenye vyama vya ushirika vya kilimo na masoko ( AMCOS) watachukuli...
Posted on: September 27th, 2019
Serikali imewataka watanzania kuwasomesha watoto wao kwa kuzingatia upeo na kipaji alichonacho na siyo wazazi kuwalazimisha wanachopenda katika familia zao.
Wito huo umetolewa jana na Kaim...