Posted on: May 1st, 2022
Serikali ya awamu ya Sita imepongezwa kwa kuendelea kuwa sikivu na kuyafanyia kazi maslahi ya Wafanyakazi licha ya kuwa na changamoto za Uchumi ulioutikisa Ulimwengu hivi sasa.
...
Posted on: April 30th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ameagiza Halmashauri ya Ilemela kuandaa mazingira yenye mvuto zaidi ya Uwekezaji maeneo Kayenze ili kukuza Uchumi wa Mkoa wa Mwanza.
...
Posted on: April 28th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mhe Mhandisi Robert Gabriel amewahimiza Wakazi wa Mkoa huo kutumia kikamilifu Wiki ya Huduma za Maabara zitakazo fanyika viwanja vya Furahisha kuanzia Mei 2 hadi 6 mwaka huu, il...