Posted on: July 6th, 2022
Wananchi wa Mwanza wameendelea kukumbushwa kushiriki vyema zoezi la Sensa na Makazi ya Watu litakalofanyika Kitaifa Agosti 23 mwaka huu bila kuwaficha watu wenye ulemavu.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mh...
Posted on: July 4th, 2022
Serikali imetoa pongezi kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure kwa uboreshaji wa huduma na ameagiza hali hiyo iwe endelevu kwa faida ya Wananchi.
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollei l...
Posted on: July 4th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel leo Julai 4, 2022 ameendelea kuongoza zoezi la kuwapatia mahitaji muhimu na ukaguzi wa Ukarabati wa Vitanda na ujenzi wa Bweni la Wanafunzi ...