Posted on: July 11th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel ametoa rai kwa familia ya Mzee Masanja kuwa na subira na kumtumaini Mungu kama mfariji Mkuu kufuatia Kifo cha mzee Charles Masanja kilichoto...
Posted on: July 9th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Ngusa Samike amezipongeza Taasisi za kidini ambazo zimekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma za kijamii ikiwemo Elimu hatua ambayo imeongeza kasi ya Maendeleo nchin...
Posted on: July 6th, 2022
Wananchi wa Mwanza wameendelea kukumbushwa kushiriki vyema zoezi la Sensa na Makazi ya Watu litakalofanyika Kitaifa Agosti 23 mwaka huu bila kuwaficha watu wenye ulemavu.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mh...