Posted on: August 7th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amekabidhi vitabu 38,891 vya darasa la nne kwa shule zote za msingi Wilayani Ukerewe.
Akiongea katika makabidhiano hayo Mhe.Mongella amesema Ofisi ya Rais T...
Posted on: August 4th, 2018
Naibu waziri wa kilimo Mhe. Dkt Mary Mwanjelwa amezindua maonesho ya wakulima (nanenane) katika kanda ya ziwa magharibi inayojumuisha Mwanza,Geita,Kagera katika viwanja cha Nyamongolo, ...
Posted on: August 2nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wakuu wapya wa wilaya za nyamagana na ilemela kusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ili kuondoa aibu ya jiji la mwanza n...