Posted on: July 24th, 2018
Waziri wa Nishati Mhe.DKt.Medard Kalemani (Mb) amefanya Ziara mkoa wa Mwanza na kuzindua mradi wa umeme vijijini awamu ya tatu katika vijiji vya wilaya ya Magu.
Akiwa wilayani Magu Mhe.Dkt. Kaleman...
Posted on: July 21st, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amezindua kampeni ya Furaha Yangu na kuwataka wanaume wakapime ili kujua afya zao na kusisitiza itumike kubadili tabia kwenye jamii na kutoa matokeo chanya ...
Posted on: July 20th, 2018
Wamiliki wa magari na madeva jijini Mwanza waliozoea ‘kumalizana’ na wakata ushuru wa maegesho itabidi sasa hawatakuwa na njia zaidi ya kulipa ushuru halali baada ya shughuli hiyo kukabidhiwa...