Posted on: December 29th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Desemba 29, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu waziri wa mifugo na uvuvi Mhe. Ng’wasi Kamani (MB) ambaye amewasili mkoani humo kwa ajili ya ziara...
Posted on: December 26th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, amefanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Mb) ofisini kwake, yakilenga kuimarisha sekta za mifugo na uvuvi mkoani humo.
...
Posted on: December 23rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kuwa nguzo ya amani, maadili na mshikamano wakati wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2026.
Ametoa wito huo mapema leo Dese...