Posted on: September 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Mlezi wa Timu ya Pamba Jiji, Mhe. Said Mtanda leo Septemba 12, 2025 amewatakia heri timu ya pamba jiji katika safari ya kuanza msimu mpya wa mashindano ya ligi kuu.
...
Posted on: September 12th, 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko amewasihi maafisa ufuatiliaji na tathmini kusimamia misingi ya kazi kwakua hakuna maendeleo bila kuwa na tathmini.
Amesema hayo leo...
Posted on: September 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari kwa jeshi la polisi la Mkoa huo yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilioni 1.3 yatakayotumika na Mkuu wa Makosa ya jinai Mkoa, Mkuu wa Kikosi cha...