-
May 18
-
May 15
-
May 14
-
May 13
-
May 12
-
May 10
-
May 09
-
May 07
Mkoa wa Mwanza umepanga kuhakikisha inatoa chanjo kwa watoto 846,733 na imejipanga katika vituo 355 ambapo jumla ya watoa huduma 6,909 wamepata mafunzo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo. Hayo
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel ameongoza ki-Mkoa Maadhimisho ya Siku ya Familia Ulimwenguni kwa kuwakumbusha Wazazi kutambua malezi bora kwa watoto kwa faida ya vizazi vijavyo.
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amezindua kampeni ya ugawaji wa Taulo za kike kwa shule za Sekondari 32 Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza zenye gharama ya Shilingi Milioni 13.
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel ameongoza mafunzo kwa Watumishi wa Halmashauri ya Misungwi yanayohusu namna ya utoaji na matumizi sahihi ya fedha za Mikopo ya asilimia kumi zi
soma zaidiKatibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Ngusa Samike amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Afya na Vifaa Tiba katika Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema na Misungwi Mkoani Mwanza na kutoa maelekezo ya
soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amemtaka Mkandarasi wa Miradi ya Kimkakati Soko Kuu na Stendi mpya ya Nyegezi kuikamilisha ndani ya muda ili Wananchi wapate Maendeleo.
soma zaidiKatibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amezitaka Halmashauri zote Mkoani humo kukamilisha Miradi yote ya Vituo vya Afya na mfumo wa upokeaji na ugawaji wa dawa uwe sahihi. Katibu
soma zaidiWaziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka Wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya awamu ya Sita inayosimamia Miradi yote nchini ambayo itakamilika kwa wakati. Akizungumza Mkoan
soma zaidi
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.