Posted on: August 24th, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi ameipongeza Balmashauri ya Wilaya ya Ukerewe kwa kuviwezesha kiuchumi vikundi vya vijana kwa kuwapatia mikopo kupitia mapato ...
Posted on: August 24th, 2025
Leo Agosti 24, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameupokea Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa shule ya msingi Muluseni wilayani Ukerewe ukitokea Mkoani Mara na amebainisha kuwa utakimbizwa kw...
Posted on: August 22nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amezitaka Halmashauri Mkoani humo kuhakikisha wanapeleka fedha za lishe kwenye shule kwa ajili ya kununua virutubisho na chakula dawa cha watoto kwa mujibu wa b...