Posted on: July 25th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameyataka Mashirika yasiyo ya Kiserikali kufanya kazi wakizingatia sheria za usajiri wa mashirika yao na kuhakikisha wanalinda maadili, mila na silka za nchi.
...
Posted on: July 28th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kusimamia ukamilishaji wa miradi ya maendeleo ili iweze kutoa huduma zilizokusudiwa kwa wananchi.
Mhe....
Posted on: July 29th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewaasa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata kuweka jitihada kwenye kazi zao kwa kuzikubali nafasi zao na kutekeleza majukumu yao kwa bidii ili waweze kuleta ti...