Posted on: December 17th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, leo Desemba 17, 2025 amezindua utoaji wa elimu ya Bima ya Afya kwa Wote mkoani Mwanza, akihimiza wananchi kushiriki ili kuhakikisha kila mmoja anakuwa na uhak...
Posted on: December 16th, 2025
Kikao kazi cha wadau wa Tasnia ya mbegu bora kutoka Kanda ya Ziwa na Magharibi kilicholenga kukusanya maoni ya maboresho ya sheria za mbegu nchini kimefanyika leo mkoani Mwanza.
Kikao hicho, ki...
Posted on: December 16th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inathamini mchango wa walimu katika ujenzi wa Taifa.
Akizungumza katika hafla ya kikao cha Watumishi wa Chama ...