Posted on: January 28th, 2026
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza imefanya kikao kazi na viongozi na watendaji wa Halmashauri za Mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu ujio wa Daftari la Makazi na Bima ya Afya kwa Wote.
...
Posted on: January 28th, 2026
Katika kuimarisha na kurahisisha shughuli za ukusanyaji wa mapato nchini, Mamlaka ya Mapato (TRA) imeanzisha Mfumo jumuishi wa Kodi za ndani ambao unatarajiwa kuanza kutumika ifikapo Februari 09, 2026...
Posted on: January 28th, 2026
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ndugu Balandya Elikana, leo Januari 28, 2026, ameupokea ugeni kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JWTZ) uliowasili mkoani humo kwa shughuli maalumu.
...