Posted on: May 6th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Ngusa Samike amefunga wiki ya Huduma za Maabara Mkoani humo kwa kutoa wito kwa vijana kusomea masomo ya Sayansi ili waweze kupata fursa ya kujiajiri na kuajiriwa....
Posted on: May 5th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amezitaka Halmashauri zote Mkoani humo kutenga viwanja vya kutosha kwa ajili ya kuendeleza soka la Wanawake.
Aidha, Samike amesema hayo...
Posted on: May 2nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel, amewaagiza wanasayansi wa Maabara za afya mkoani humo kuongeza usimamizi wa ubora wa vipimo mbalimbali katika maabara zote za serikali n...