Posted on: August 29th, 2025
Leo Agosti 29, 2025 Mwenge wa Uhuru umewasili wilayani Misungwi ukitokea wilayani Kwimba ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Johari Samizi amesema Mwenge huo utakimbizwa katika umbali wa kilomita 80.3 na ...
Posted on: August 28th, 2025
Mwenge wa Uhuru leo Agosti 28, 2025 umezindua maduka 20 ya biashara pamoja na Jengo la duka kubwa la dawa muhimu katika soko la Ngudu Wilayani Kwimba vilivyojengwa kwa thamani ya zaidi ya Milioni 168 ...
Posted on: August 28th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana amewataka maafisa usafirishaji (madereva na makondakta) kuboresha na kuimalisha huduma zao kwa wananchi kwakua sekta ya usafiri na usafirishaji ina ...