Posted on: November 10th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wakuu wa vyuo mkoani humo kutoa elimu kwa wanafunzi wapya wanaodahiliwa pamoja na kuweka usimamizi mzuri wa kuhakikisha wanajiunga na fao la matibabu ...
Posted on: November 7th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Novemba 7, 2025 amewaongoza wafiwa,waombolezaji na watumishi katika mazishi ya aliyekuwa Baba mzazi wa Mkuu wa idara ya biashara, viwanda na uwekezaji katik...
Posted on: November 5th, 2025
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndg. Henry Mwaijega ametoa rai kwa Halmashauri kuhakikisha wanatumia fedha za lishe kwa ajili ya kuwahudumia watoto wa shule na makundi yaliyoainishwa kwenye muongoz...