Posted on: September 12th, 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko amewasihi maafisa ufuatiliaji na tathmini kusimamia misingi ya kazi kwakua hakuna maendeleo bila kuwa na tathmini.
Amesema hayo leo...
Posted on: September 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari kwa jeshi la polisi la Mkoa huo yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilioni 1.3 yatakayotumika na Mkuu wa Makosa ya jinai Mkoa, Mkuu wa Kikosi cha...
Posted on: September 11th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Amir Mkalipa ameahidi kufikisha changamoto ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi ambao tayari wameisha fikia ukomo wa vyeo kwa mamlaka husika ili ziendelee kufanyi...