Posted on: September 22nd, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana ametoa rai kwa jeshi la polisi na waandishi wa habari kuzingatia maadili, miiko, sheria na taratibu kusimamia uchaguzi Mkuu wa 2025 uwe wa amani.
...
Posted on: September 21st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia jaribio la mwisho la safari ndefu kwa Meli ya MV New Mwanza kwenye bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza ilipo...
Posted on: September 19th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesisitiza kuwa malezi bora ya mtoto hayawezi kufanikishwa na mzazi mmoja pekee, akibainisha kuwa ushirikiano wa karibu kati ya baba na mama ni nguzo muhimu ka...