Posted on: December 4th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Desemba 04, 2025 amefanya ziara katika Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi pamoja n...
Posted on: December 3rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka vijana na makundi mengine mkoani humo kuchangamkia fursa za kujiajiri katika kilimo, uvuvi na ufugaji ili waweze kupata mikopo isiyokua na riba kupiti...
Posted on: December 2nd, 2025
Leo Desemba 02, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amefanya kikao na viongozi wa Kanisa la African Inland Church of Tanzania (AICT) katika Kanisa Kuu la Makongoro Jijini Mwanza, ambapo amewa...