Posted on: September 27th, 2019
Serikali imewataka watanzania kuwasomesha watoto wao kwa kuzingatia upeo na kipaji alichonacho na siyo wazazi kuwalazimisha wanachopenda katika familia zao.
Wito huo umetolewa jana na Kaim...
Posted on: September 26th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameziagiza taasisizinazojihusisha na masuala ya bima nchini kujikita zaidi maeneo yavijijini kutoa elimu badala ya kupigana vikumbo mjini ...
Posted on: September 25th, 2019
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kiwango cha ulaji wa samaki kwa watanzania bado kipo chini sana licha ya taifa kuwa na maziwa, mito, bahari na mabwawa ya wafugaji.
...