Posted on: September 27th, 2018
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ametoa idadi ya watu waliopoteza maisha na miili iliyopatikana leo ni mwili wa mtoto mmoja Na kufanya idadi ya 228.
...
Posted on: September 25th, 2018
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mwasiliano Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe amesema zoezi la uopoaji wa miili ambayo itakua imenasa na kugeuza kivuko na kukitoa majini bado linaendelea likiongozwa n...
Posted on: September 24th, 2018
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere yenye wajumbe saba ambayo itaongozwa na Jenerali mstaafu, George Waitara.
Akitangaza majina h...