Posted on: April 16th, 2020
Wadau wa Maendeleo na Taasisi mbalimbali za maendeleo zimetoa vifaa mbalimbali vikiwemo meza, ndoo, sabuni, diaba na matenki ya maji kwa ajili ya kusaidia kwenye mapambano ya Corona.
V...
Posted on: April 12th, 2020
Pasaka hii iwe na baraka tele,tunaposherekea tukumbuke kuendelea kuchukua tahadhali kujikinga na ugonjwa wa COVID 19,tufuate maelekezo ya wataalam wa afya wakati wote.Pasaka njema....
Posted on: April 8th, 2020
Zaidi ya million 17 alizotapeliwa Mwalimu mstaafu zarejeshwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) yamrejeshea.
Akitoa taarifa hiyo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza Emmanu...