Posted on: March 22nd, 2020
Maendeleo ni mchakato mrefu unaogharimu muda, rasilimali fedha na utaalam.
Kote duniani maendeleo hupimwa katika misingi ya kuimarika na kuboreka kwa huduma za kijamii.
Ili kufikia maendeleo...
Posted on: March 21st, 2020
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa! Huu ni usemi uliozoeleka nchini kuelezea umuhimu wa sekta ya kilimo kwa maendeleo ya Taifa.
Mkuu wa Seksheni ya Uchumi na uzalishaji, Emily Kasagara anasema mkoa w...
Posted on: March 20th, 2020
Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa (TANROAD) Mhandisi Rubirya Marwa anasema ofisi yake imeendelea kutekeleza agizo la ilani la ukarabati wa barabara zote unaoendelea sanjari na ujenzi wa barabara kwa k...