Posted on: November 6th, 2022
Leo Novemba 06, 2022 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) amewasili na kuondoka Mkoani Mwanza akiwa Safarini kuelekea Mkoani Kagera kufuatia Ajali ya Ndege...
Posted on: November 5th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima amewataka wananchi wa Kitongoji cha Gana- Kamasi kufanya kazi kwa bidii na kuacha tabia ya kustarehe wakati wote ili waweze kumudu mahitaji ya familia ...
Posted on: November 5th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amewakumbusha wakazi wa Mkoa huo kuitumia vizuri wiki ya Kitaifa ya magonjwa yasiyoambukiza ili kujitambua mapema afya zao.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mh. ...