Posted on: October 22nd, 2025
Serikali kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali la Jhpiego imeendelea kuboresha huduma za matibabu ya saratani ya matiti Mkoani Mwanza kupitia Mradi wake wa Beat Breast Cancer awamu ya pili ...
Posted on: October 21st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari pamoja na Vifaa vya Uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na na Uokozi Mkoani humo na akatumia wasaa huo kuishukuru Serikali ya awamu ya Sita inayoongo...
Posted on: October 21st, 2025
Leo Oktoba 21, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amepokea ujumbe wa Brig Jenerali MK Matunda kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Mwanza kwa ajili ya ma...